Warumi 4:2
Kama Abrahamu alikubaliwa kuwa mwadilifu kutokana na matendo yake, basi, anacho kitu cha kujivunia mbele ya Mungu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
For if Abraham were justified by works, he hath whereof to glory; but not before God.
In Context
1Tuseme nini basi, juu ya Abrahamu baba yetu?
Cross References
Romans 3:20Maana hakuna binadamu yeyote anayekubaliwa kuwa mwadilifu mbele yake Mungu kwa kuishika Sheria; kazi ya Sheria ni kumwonyesha tu mtu kwamba ametenda dhambi.
1 Corinthians 1:29Basi, hakuna mtu awezaye kujivunia chochote mbele ya Mungu.
1 Corinthians 4:7Nani amekupendelea wewe? Una kitu gani wewe ambacho hukupewa? Na ikiwa umepewa, ya nini kujivunia kana kwamba hukukipewa?