The Bible Software
bible.software › Warumi › Warumi 4 › Warumi 4:3

Warumi 4:3

Kwa maana, Maandiko Matakatifu yasema: “Abrahamu alimwamini Mungu, naye Mungu akamkubali kuwa mwadilifu.”

Biblia Takatifu

In The King James Version

For what saith the scripture? Abraham believed God, and it was counted unto him for righteousness.

In Context

2Kama Abrahamu alikubaliwa kuwa mwadilifu kutokana na matendo yake, basi, anacho kitu cha kujivunia mbele ya Mungu.

4Mfanyakazi hulipwa mshahara; mshahara wake si zawadi bali ni haki yake.

Read all of Warumi 4

Cross References

Mark 12:10Je, hamjasoma Maandiko haya? Jiwe walilokataa waashi sasa limekuwa jiwe kuu la msingi.

Romans 4:9Je, hiyo ni kwa wale waliotahiriwa tu, ama pia kwa wale wasiotahiriwa? Ni kwa wale wasiotahiriwa pia. Kwa maana tumekwisha sema: “Abrahamu aliamini, naye Mungu akamkubali kuwa mwadilifu.”

Romans 4:22Ndiyo maana Mungu alimkubali kuwa mwadilifu.

Romans 10:11Maandiko Matakatifu yasema: “Kila amwaminiye hatakuwa na sababu ya kuaibika.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Portuguesa MundialLuther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)新标点和合本성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايكBibbia Diodati (Italiano)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)Polish Biblia Gdanska (1881)

Study Warumi 4:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)Robertson's Word Pictures
← Warumi 4:2Warumi 4Warumi 4:4 →