The Holy Bible · Biblia (Kiswahili)

Lamentations

Tazama jinsi mji ulivyoachwa ukiwa, 2 mji ambao zamani ulikuwa umejaa watu! 1 Jinsi ambavyo umekuwa kama mama mjane, 2 ambaye wakati fulani alikuwa maarufu miongoni mwa mataifa! 1 Yule ambaye alikuwa malkia miongoni mwa majimbo 2 sasa amekuwa mtumwa. 1

Read Lamentations Free →

The 5 Chapters

12345