Song of Solomon · Biblia (Kiswahili)

Song of Solomon 8

1Laiti ungelikuwa kwangu kama ndugu wa kiume, 2 ambaye aliyanyonya matiti ya mama yangu! 1 Kisha, kama ningekukuta huko nje, 2 ningelikubusu, 2 wala hakuna mtu yeyote angelinidharau. 1

2Ningelikuongoza na kukuleta 2 katika nyumba ya mama yangu, 2 yeye ambaye amenifundisha. 1 Ningelikupa divai iliyokolezwa unywe, 2 asali ya maua ya mikomamanga yangu. 1

3Mkono wake wa kushoto uko chini ya kichwa changu, 2 na mkono wake wa kuume unanikumbatia. 1

4Binti za Yerusalemu, ninawaagiza: 2 msichochee wala kuamsha mapenzi 2 hata yatakapotaka yenyewe. 1 Shairi La Sita Marafiki 1

5Ni nani huyu anayekuja kutoka nyikani 2 akimwegemea mpenzi wake? Mpendwa 1 Nilikuamsha chini ya mtofaa, 2 huko mama yako alipotunga mimba yako, 2 huko yeye alipata utungu akakuzaa. 1

6Nitie kama muhuri moyoni mwako, 2 kama muhuri kwenye mkono wako; 1 kwa maana upendo una nguvu kama mauti, 2 wivu wake ni mkatili kama kuzimu. 1 Unachoma kama mwali wa moto, 2 kama mwali mkubwa wa moto wa Bwana hasa. 1

7Maji mengi hayawezi kuuzimisha upendo, 2 mito haiwezi kuugharikisha. 1 Kama mtu angelitoa mali yote ya nyumbani mwake 2 kwa ajili ya upendo, 2 angelidharauliwa kabisa. Marafiki 1

8Tunaye dada mdogo, 2 matiti yake hayajakua bado. 1 Tutafanya nini kwa ajili ya dada yetu 2 wakati atakapokuja kuposwa? 1

9Kama yeye ni ukuta, 2 tutajenga minara ya fedha juu yake. 1 Na kama yeye ni mlango, 2 tutamzungushia mbao za mierezi. Mpendwa 1

10Mimi ni ukuta, 2 nayo matiti yangu ni kama minara. 1 Ndivyo ambavyo nimekuwa machoni pake 2 kama yule anayeleta utoshelevu. 1

11Solomoni alikuwa na shamba la mizabibu huko Baal-Hamoni; 2 alikodisha shamba lake la mizabibu kwa wapangaji. 1 Kila mmoja angeleta kwa ajili ya matunda yake 2 shekeli 1,000 + 8:11 Shekeli 1,000 ni kama kilo 11.5. za fedha. 1

12Lakini shamba langu la mizabibu 2 ambalo ni langu mwenyewe 2 ni langu kutoa; 1 hizo shekeli 1,000 ni kwa ajili yako, ee Solomoni, 2 na shekeli mia mbili + 8:12 Shekeli 200 ni kama kilo 2.3. ni kwa ajili 2 ya wale wanaotunza matunda yake. Mpenzi 1

13Wewe ukaaye bustanini 2 pamoja na marafiki mliohudhuria, 2 hebu nisikie sauti yako! Mpendwa 1

14Njoo, mpenzi wangu, 2 uwe kama swala 1 au kama ayala kijana 2 juu ya milima iliyojaa vikolezo.

← Song of Solomon 7Read In The App, Free →Isaiah 1 →

Study Song of Solomon 8

KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)

All Chapters

12345678