Job 25
1Ndipo Bildadi Mshuhi akajibu: 1
2“Mamlaka na kuheshimiwa ni vyake Mungu; 2 yeye huthibitisha amani katika mbingu juu. 1
3Je, majeshi yake yaweza kuhesabika? 2 Ni nani asiyeangaziwa na nuru yake? 1
4Mtu awezaje kuwa mwadilifu mbele za Mungu? 2 Awezaje mtu aliyezaliwa na mwanamke kuwa safi? 1
5Ikiwa hata mwezi sio mwangavu 2 nazo nyota si safi machoni pake, 1
6sembuse mtu ambaye ni funza: 2 mwanadamu ambaye ni buu tu!”
Study Job 25
KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)