Psalms · Biblia (Kiswahili)

Psalms 1

1Heri mtu yule ambaye 2 haendi katika shauri la watu waovu, 1 wala hasimami katika njia ya wenye dhambi, 2 au kuketi katika baraza la wenye mizaha. 1

2Bali huifurahia sheria ya Bwana, 2 naye huitafakari hiyo sheria usiku na mchana. 1

3Mtu huyo ni kama mti uliopandwa 2 kando ya vijito vya maji, 2 ambao huzaa matunda kwa majira yake 1 na majani yake hayanyauki. 2 Lolote afanyalo hufanikiwa. 1 Huzuni Ya Waovu 1

4Sivyo walivyo waovu! 2 Wao ni kama makapi 2 yapeperushwayo na upepo. 1

5Kwa hiyo waovu hawatastahimili hukumu, 2 wala wenye dhambi katika kusanyiko la wenye haki. 1

6Kwa maana Bwana huziangalia njia za mwenye haki, 2 bali njia ya waovu itaangamia.

← Job 42Read In The App, Free →Psalms 2 →

Study Psalms 1

KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)

All Chapters

123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131132133134135136137138139140141142143144145146147148149150