Psalms 126
1Bwana alipowarejeza mateka Sayuni, 2 tulikuwa kama watu walioota ndoto. 1
2Vinywa vyetu vilijaa kicheko, 2 ndimi zetu zilijaa nyimbo za shangwe. 1 Ndipo iliposemwa miongoni mwa mataifa, 2 “ Bwana amewatendea mambo makuu.” 1
3Bwana ametutendea mambo makuu, 2 nasi tumejaa furaha. 1
4Ee Bwana, turejeshee watu wetu waliotekwa, 2 kama vijito katika Negebu. 1
5Wapandao kwa machozi 2 watavuna kwa nyimbo za shangwe. 1
6Yeye azichukuaye mbegu zake 2 kwenda kupanda, huku akilia, 1 atarudi kwa nyimbo za shangwe, 2 akichukua miganda ya mavuno yake.
Study Psalms 126
KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)
All Chapters
123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131132133134135136137138139140141142143144145146147148149150