Psalms · Biblia (Kiswahili)

Psalms 53

1Mpumbavu anasema moyoni mwake, 2 “Hakuna Mungu.” 1 Wameharibika, na njia zao ni za uovu kabisa, 2 hakuna hata mmoja atendaye mema. 1

2Mungu anawachungulia wanadamu chini 2 kutoka mbinguni 1 aone kama wako wenye akili, 2 wowote wanaomtafuta Mungu. 1

3Kila mmoja amegeukia mbali, 2 wameharibika wote pamoja, 1 hakuna atendaye mema. 2 Naam, hakuna hata mmoja! 1

4Je, watendao mabaya kamwe hawatajifunza: 2 wale ambao huwala watu wangu 1 kama watu walavyo mkate, 2 hao ambao hawamwiti Mungu? 1

5Hapo waliingiwa na hofu kuu, 2 ambapo hapakuwa cha kutetemesha. 1 Mungu alitawanya mifupa ya wale waliokushambulia; 2 uliwaaibisha, kwa sababu Mungu aliwadharau. 1

6Laiti wokovu wa Israeli ungalikuja kutoka Sayuni! 2 Wakati Mungu arejeshapo wafungwa wa watu wake, 2 Yakobo na ashangilie, Israeli na afurahi!

← Psalms 52Read In The App, Free →Psalms 54 →

Study Psalms 53

KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)

All Chapters

123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131132133134135136137138139140141142143144145146147148149150