Psalms 3
1Ee Bwana, tazama adui zangu walivyo wengi! 2 Ni wengi kiasi gani wanaoinuka dhidi yangu! 1
2Wengi wanasema juu yangu, 2 “Mungu hatamwokoa.” 1
3Lakini wewe, Ee Bwana, ni ngao pande zote; 2 umeniwekea utukufu na kuinua kichwa changu. 1
4Ninamlilia Bwana kwa sauti kuu, 2 naye ananijibu kutoka mlima wake mtakatifu. 1
5Ninajilaza na kupata usingizi; 2 naamka tena, kwa maana Bwana hunitegemeza. 1
6Sitaogopa makumi elfu ya adui, 2 wanaojipanga dhidi yangu kila upande. 1
7Ee Bwana, amka! 2 Niokoe, Ee Mungu wangu! 1 Wapige adui zangu wote kwenye taya, 2 vunja meno ya waovu. 1
8Kwa maana wokovu watoka kwa Bwana. 1 Baraka yako na iwe juu ya watu wako.
Study Psalms 3
KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)
All Chapters
123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131132133134135136137138139140141142143144145146147148149150