Psalms · Biblia (Kiswahili)

Psalms 131

1Moyo wangu hauna kiburi, Ee Bwana, 2 macho yangu hayajivuni; 1 sijishughulishi na mambo makuu kunizidi 2 wala mambo ya ajabu mno kwangu. 1

2Lakini nimetuliza na kunyamazisha nafsi yangu; 2 kama mtoto aliyeachishwa kunyonya na mama yake, 1 kama mtoto aliyeachishwa kunyonya 2 ndivyo ilivyo nafsi iliyoko ndani yangu. 1

3Ee Israeli, mtumaini Bwana 2 tangu sasa na hata milele.

← Psalms 130Read In The App, Free →Psalms 132 →

Study Psalms 131

KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)

All Chapters

123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131132133134135136137138139140141142143144145146147148149150