Psalms · Biblia (Kiswahili)

Psalms 24

1Dunia ni mali ya Bwana, na vyote vilivyomo ndani yake, 2 ulimwengu, na wote waishio ndani yake, 1

2maana aliiwekea misingi yake baharini 2 na kuifanya imara juu ya maji. 1

3Nani awezaye kuupanda mlima wa Bwana? 2 Ni nani awezaye kusimama patakatifu pake? 1

4Ni yule mwenye mikono safi na moyo mweupe, 2 yule ambaye hakuinulia sanamu nafsi yake 2 au kuapa kwa kitu cha uongo. 1

5Huyo atapokea baraka kutoka kwa Bwana, 2 na hukumu ya haki kutoka kwa Mungu Mwokozi wake. 1

6Hiki ndicho kizazi cha wale wamtafutao, 2 wale wautafutao uso wako, Ee Mungu wa Yakobo. 1

7Inueni vichwa vyenu, enyi malango, 2 inukeni enyi milango ya kale, 2 ili mfalme wa utukufu apate kuingia. 1

8Ni nani huyu Mfalme wa utukufu? 2 Ni Bwana aliye na nguvu na uweza, 2 ni Bwana aliye hodari katika vita. 1

9Inueni vichwa vyenu, enyi malango, 2 viinueni juu enyi milango ya kale, 2 ili Mfalme wa utukufu apate kuingia. 1

10Ni nani yeye, huyu Mfalme wa utukufu? 2 Ni Bwana Mwenye Nguvu Zote; 2 yeye ndiye Mfalme wa utukufu.

← Psalms 23Read In The App, Free →Psalms 25 →

Study Psalms 24

KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)

All Chapters

123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131132133134135136137138139140141142143144145146147148149150