Psalms 149
1Msifuni Bwana. 1 Mwimbieni Bwana wimbo mpya, 2 sifa zake katika kusanyiko la watakatifu. 1
2Israeli na washangilie katika Muumba wao, 2 watu wa Sayuni na wafurahi katika Mfalme wao. 1
3Na walisifu jina lake kwa kucheza 2 na wampigie muziki kwa matari na kinubi. 1
4Kwa maana Bwana anapendezwa na watu wake, 2 anawavika wanyenyekevu taji ya wokovu. 1
5Watakatifu washangilie katika heshima hii, 2 na waimbe kwa shangwe vitandani mwao. 1
6Sifa za Mungu na ziwe vinywani mwao 2 na upanga ukatao kuwili mikononi mwao, 1
7ili walipize mataifa kisasi 2 na adhabu juu ya mataifa, 1
8wawafunge wafalme wao kwa minyororo, 2 wakuu wao kwa pingu za chuma, 1
9ili kuwafanyia hukumu iliyoandikwa dhidi yao. 2 Huu ndio utukufu wa watakatifu wake wote. 2 Msifuni Bwana.
Study Psalms 149
KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)
All Chapters
123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131132133134135136137138139140141142143144145146147148149150