Psalms 122
1Nilishangilia pamoja na wale walioniambia, 2 “Twende nyumbani ya Bwana.” 1
2Ee Yerusalemu, miguu yetu imesimama 2 malangoni mwako. 1
3Yerusalemu imejengwa vyema kama mji 2 ambao umeshikamanishwa pamoja. 1
4Huko ndiko makabila hukwea, 2 makabila ya Bwana, 1 kulisifu jina la Bwana kulingana na maagizo 2 waliopewa Israeli. 1
5Huko viti vya enzi vya hukumu hukaa, 2 viti vya enzi vya nyumba ya Daudi. 1
6Omba kwa ajili ya amani ya Yerusalemu: 2 “Wote wakupendao na wawe salama. 1
7Amani na iwepo ndani ya kuta zako 2 na usalama ndani ya ngome zako.” 1
8Kwa ajili ya ndugu zangu na marafiki, 2 nitasema, “Amani iwe ndani yako.” 1
9Kwa ajili ya nyumba ya Bwana Mungu wetu, 2 nitatafuta mafanikio yako.
Study Psalms 122
KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)
All Chapters
123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131132133134135136137138139140141142143144145146147148149150