Psalms · Biblia (Kiswahili)

Psalms 47

1Pigeni makofi, enyi mataifa yote, 2 mpigieni Mungu kelele za shangwe! 1

2Jinsi gani alivyo wa kutisha, Bwana Aliye Juu Sana, 2 Mfalme mkuu juu ya dunia yote! 1

3Ametiisha mataifa chini yetu 2 watu wengi chini ya miguu yetu. 1

4Alituchagulia urithi wetu, 2 fahari ya Yakobo, aliyempenda. 1

5Mungu amepaa kwa kelele za shangwe, 2 Bwana kwa sauti za tarumbeta. 1

6Mwimbieni Mungu sifa, imbeni sifa, 2 mwimbieni sifa Mfalme wetu, imbeni sifa. 1

7Kwa kuwa Mungu ni mfalme wa dunia yote, 2 mwimbieni zaburi za sifa. 1

8Mungu anatawala juu ya mataifa, 2 Mungu ameketi juu ya kiti chake cha enzi kitakatifu. 1

9Wakuu wa mataifa wanakusanyika 2 kama watu wa Mungu wa Abrahamu, 1 kwa kuwa wafalme wa dunia ni mali ya Mungu; 2 yeye ametukuka sana.

← Psalms 46Read In The App, Free →Psalms 48 →

Study Psalms 47

KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)

All Chapters

123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131132133134135136137138139140141142143144145146147148149150