Psalms 87
1Ameuweka msingi wake katika mlima mtakatifu; 2
2Bwana anayapenda malango ya Sayuni 2 kuliko makao yote ya Yakobo. 1
3Mambo matukufu yanasemwa juu yako, 2 ee mji wa Mungu: 1
4“Nitaweka kumbukumbu ya Rahabu + 87:4 Rahabu hapa ni jina la ushairi la Misri. na Babeli 2 miongoni mwa wale wanaonikubali mimi: 1 Ufilisti pia na Tiro, pamoja na Kushi, + 87:4 Kushi hapa ina maana ya Naili ya juu, yaani Ethiopia. 2 nami nitasema, ‘Huyu alizaliwa Sayuni.’ ” 1
5Kuhusu Sayuni itasemwa hivi, 2 “Huyu na yule walizaliwa humo, 1 naye Aliye Juu Sana mwenyewe 2 atamwimarisha.” 1
6Bwana ataandika katika orodha ya mataifa: 2 “Huyu alizaliwa Sayuni.” 1
7Watakapokuwa wanapiga vinanda wataimba, 2 “Chemchemi zangu zote ziko kwako.”
Study Psalms 87
KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)
All Chapters
123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131132133134135136137138139140141142143144145146147148149150