Psalms · Biblia (Kiswahili)

Psalms 123

1Ninayainua macho yangu kwako, 2 kwako wewe ambaye kiti chako cha enzi kiko mbinguni. 1

2Kama vile macho ya watumwa 2 yatazamavyo mkono wa bwana wao, 1 kama vile macho ya mtumishi wa kike 2 yatazamavyo mkono wa bibi yake, 1 ndivyo macho yetu yamtazamavyo Bwana Mungu wetu, 2 mpaka atakapotuhurumia. 1

3Uturehemu, Ee Bwana, uturehemu, 2 kwa maana tumevumilia dharau nyingi. 1

4Tumevumilia dhihaka nyingi kutoka kwa wenye kiburi, 2 dharau nyingi kutoka kwa wenye majivuno.

← Psalms 122Read In The App, Free →Psalms 124 →

Study Psalms 123

KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)

All Chapters

123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131132133134135136137138139140141142143144145146147148149150