Psalms · Biblia (Kiswahili)

Psalms 43

1Ee Mungu unihukumu, 2 nitetee dhidi ya taifa lisilomcha Mungu, 2 niokoe na watu wadanganyifu na waovu. 1

2Wewe ni Mungu ngome yangu. 2 Kwa nini umenikataa? 1 Kwa nini niendelee kuomboleza, 2 nikiwa nimeonewa na adui? 1

3Tuma hima nuru yako na kweli yako 2 na viniongoze; 1 vinilete mpaka mlima wako mtakatifu, 2 mpaka mahali unapoishi. 1

4Ndipo nitakwenda madhabahuni pa Mungu, 2 kwa Mungu, furaha yangu na shangwe yangu. 1 Nitakusifu kwa kinubi, 2 Ee Mungu, Mungu wangu. 1

5Ee nafsi yangu, kwa nini unasononeka? 2 Kwa nini unafadhaika hivyo ndani yangu? 1 Weka tumaini lako kwa Mungu, 2 kwa sababu bado nitamsifu 2 Mwokozi wangu na Mungu wangu.

← Psalms 42Read In The App, Free →Psalms 44 →

Study Psalms 43

KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)

All Chapters

123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131132133134135136137138139140141142143144145146147148149150