Psalms · Biblia (Kiswahili)

Psalms 23

1Bwana ndiye mchungaji wangu, 2 sitapungukiwa na kitu. 1

2Hunilaza katika malisho 2 ya majani mabichi, 1 kando ya maji matulivu huniongoza, 2

3hunihuisha nafsi yangu. 1 Huniongoza katika njia za haki 2 kwa ajili ya jina lake. 1

4Hata kama nikipita katikati 2 ya bonde la uvuli wa mauti, 1 sitaogopa mabaya, 2 kwa maana wewe upo pamoja nami; 1 fimbo yako na mkongojo wako 2 vyanifariji. 1

5Waandaa meza mbele yangu 2 machoni pa adui zangu. 1 Umenipaka mafuta kichwani pangu, 2 kikombe changu kinafurika. 1

6Hakika wema na upendo vitanifuata 2 siku zote za maisha yangu, 1 nami nitakaa nyumbani mwa Bwana 2 milele.

← Psalms 22Read In The App, Free →Psalms 24 →

Study Psalms 23

KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)

All Chapters

123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131132133134135136137138139140141142143144145146147148149150