Psalms 127
1Bwana asipoijenga nyumba, 2 wajengao hufanya kazi bure. 1 Bwana asipoulinda mji, 2 walinzi wakesha bure. 1
2Mnajisumbua bure kuamka mapema 2 na kuchelewa kulala, 1 mkitaabikia chakula: 2 kwa maana yeye huwapa usingizi wapenzi wake. 1
3Wana ni urithi utokao kwa Bwana, 2 watoto ni zawadi kutoka kwake. 1
4Kama mishale mikononi mwa shujaa 2 ndivyo walivyo wana awazaao mtu katika ujana wake. 1
5Heri mtu ambaye podo lake 2 limejazwa nao. 1 Hawataaibishwa wanaposhindana 2 na adui zao langoni.
Study Psalms 127
KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)
All Chapters
123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131132133134135136137138139140141142143144145146147148149150