Psalms · Biblia (Kiswahili)

Psalms 56

1Ee Mungu unihurumie, maana watu wananifuatia vikali; 2 mchana kutwa wanazidisha mashambulizi yao. 1

2Wasingiziaji wangu wananifuatia mchana kutwa, 2 wengi wananishambulia kwa kiburi chao. 1

3Wakati ninapoogopa, 2 nitakutumaini wewe. 1

4Katika Mungu, ambaye neno lake ninalisifu, 2 katika Mungu ninatumaini; sitaogopa. 1 Mwanadamu apatikanaye na kufa, 2 atanitenda nini? 1

5Mchana kutwa wanayageuza maneno yangu, 2 siku zote wanapanga shauri la kunidhuru. 1

6Wananifanyia hila, wanajificha, 2 wanatazama hatua zangu, 2 wakiwa na shauku ya kuutoa uhai wangu. 1

7Wasiepuke kwa vyovyote, 2 Ee Mungu, katika hasira yako yaangushe mataifa. 1

8Andika maombolezo yangu, 2 orodhesha machozi yangu katika gombo lako: 2 je, haya hayapo katika kumbukumbu zako? 1

9Ndipo adui zangu watarudi nyuma 2 ninapoita msaada. 1 Kwa hili nitajua kwamba Mungu 2 yuko upande wangu. 1

10Katika Mungu, ambaye neno lake ninalisifu, 2 katika Bwana, ambaye neno lake ninalisifu, 1

11katika Mungu ninatumaini, sitaogopa. 2 Mwanadamu anaweza kunitenda nini? 1

12Ee Mungu, nina nadhiri kwako, 2 nitakutolea wewe sadaka zangu za shukrani. 1

13Kwa kuwa umeniokoa toka kwenye mauti 2 na miguu yangu kwenye kujikwaa, 1 ili niweze kuenenda mbele za Mungu 2 katika nuru ya uzima.

← Psalms 55Read In The App, Free →Psalms 57 →

Study Psalms 56

KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)

All Chapters

123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131132133134135136137138139140141142143144145146147148149150