Psalms 100
1Mpigieni Bwana kelele za shangwe, dunia yote. 2
2Mwabuduni Bwana kwa furaha; 2 njooni mbele zake kwa nyimbo za shangwe. 1
3Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu. 2 Yeye ndiye alituumba, sisi tu mali yake; 1 sisi tu watu wake, 2 kondoo wa malisho yake. 1
4Ingieni malangoni mwake kwa shukrani 2 na katika nyua zake kwa kusifu, 2 mshukuruni yeye na kulisifu jina lake. 1
5Kwa maana Bwana ni mwema 2 na upendo wake wadumu milele; 2 uaminifu wake unadumu kwa vizazi vyote.
Study Psalms 100
KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)
All Chapters
123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131132133134135136137138139140141142143144145146147148149150