Psalms 120
1Katika dhiki yangu namwita Bwana, 2 naye hunijibu. 1
2Ee Bwana, uniokoe kutoka midomo ya uongo 2 na ndimi za udanganyifu. 1
3Atakufanyia nini, 2 au akufanyie nini zaidi, ewe ulimi mdanganyifu? 1
4Atakuadhibu kwa mishale mikali ya shujaa, 2 kwa makaa yanayowaka ya mti wa mretemu. 1
5Ole wangu kwa kuwa naishi Mesheki, 2 kwamba naishi katikati ya hema za Kedari! 1
6Nimeishi muda mrefu mno 2 miongoni mwa wale wanaochukia amani. 1
7Mimi ni mtu wa amani; 2 lakini ninaposema, wao wanataka vita.
Study Psalms 120
KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)
All Chapters
123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131132133134135136137138139140141142143144145146147148149150