Psalms 150
1Msifuni Bwana. 1 Msifuni Mungu katika patakatifu pake, 2 msifuni katika mbingu zake kuu. 1
2Msifuni kwa matendo yake makuu, 2 msifuni kwa kadiri ya wingi wa ukuu wake. 1
3Msifuni kwa mvumo wa tarumbeta, 2 msifuni kwa kinubi na zeze, 1
4msifuni kwa matari na kucheza, 2 msifuni kwa kinanda cha nyuzi na filimbi, 1
5msifuni kwa matoazi yaliayo, 2 msifuni kwa matoazi yavumayo sana. 1
6Kila chenye pumzi na kimsifu Bwana. 2 Msifuni Bwana!
Study Psalms 150
KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)
All Chapters
123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131132133134135136137138139140141142143144145146147148149150