Psalms · Biblia (Kiswahili)

Psalms 20

1Bwana na akujibu unapokuwa katika dhiki, 2 jina la Mungu wa Yakobo na liwe kinga yako. 1

2Na akutumie msaada kutoka patakatifu 2 na akupatie msaada kutoka Sayuni. 1

3Na azikumbuke dhabihu zako zote, 2 na azikubali sadaka zako za kuteketezwa. 1

4Na akujalie haja ya moyo wako, 2 na aifanikishe mipango yako yote. 1

5Tutashangilia kwa furaha utakaposhinda, 2 tutainua bendera zetu kwa jina la Mungu wetu. 1 Bwana na akupe haja zako zote. 1

6Sasa nafahamu kuwa Bwana 2 humwokoa mpakwa mafuta wake, 1 humjibu kutoka mbingu yake takatifu 2 kwa nguvu za wokovu wa mkono wake wa kuume. 1

7Wengine wanatumaini magari ya vita, na wengine farasi, 2 bali sisi tutalitumainia jina la Bwana, Mungu wetu. 1

8Wao wameshushwa chini na kuanguka, 2 bali sisi tunainuka na kusimama imara. 1

9Ee Bwana, mwokoe mfalme! 2 Tujibu tunapokuita!

← Psalms 19Read In The App, Free →Psalms 21 →

Study Psalms 20

KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)

All Chapters

123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131132133134135136137138139140141142143144145146147148149150