Psalms · Biblia (Kiswahili)

Psalms 12

1Bwana tusaidie, kwa kuwa wacha Mungu wametoweka; 2 waaminifu wametoweka miongoni mwa wanadamu. 1

2Kila mmoja humwambia jirani yake uongo; 2 midomo yao ya hila huzungumza kwa udanganyifu. 1

3Bwana na akatilie mbali midomo yote ya hila 2 na kila ulimi uliojaa majivuno, 1

4ule unaosema, “Kwa ndimi zetu tutashinda; 2 midomo ni mali yetu, bwana wetu ni nani?” 1

5“Kwa sababu ya uonevu wa wanyonge 2 na kulia kwa uchungu kwa wahitaji, 1 nitainuka sasa,” asema Bwana. 2 “Nitawalinda kutokana na wale 2 wenye nia mbaya juu yao.” 1

6Maneno ya Bwana ni safi, 2 kama fedha iliyosafishwa katika tanuru, 2 iliyosafishwa mara saba. 1

7Ee Bwana, utatuweka salama 2 na kutulinda na kizazi hiki milele. 1

8Watu waovu huenda wakiringa kila mahali 2 wakati ambapo yule aliye mbaya sana 2 ndiye anayeheshimiwa miongoni mwa watu.

← Psalms 11Read In The App, Free →Psalms 13 →

Study Psalms 12

KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)

All Chapters

123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131132133134135136137138139140141142143144145146147148149150