Psalms · Biblia (Kiswahili)

Psalms 114

1Wakati Israeli walipotoka Misri, 2 nyumba ya Yakobo kutoka kwa watu wa lugha ngeni, 1

2Yuda alifanywa makao matakatifu ya Mungu, 2 Israeli akawa milki yake. 1

3Bahari ilitazama ikakimbia, 2 Yordani ulirudi nyuma, 1

4milima ilirukaruka kama kondoo dume, 2 vilima kama wana-kondoo. 1

5Ee bahari, ni nini kilichokufanya ukakimbia, 2 nawe, ee Yordani, ukarudi nyuma, 1

6enyi milima mkarukaruka kama kondoo dume, 2 enyi vilima, kama wana-kondoo? 1

7Ee dunia, tetemeka mbele za Bwana, 2 mbele za Mungu wa Yakobo, 1

8aliyegeuza mwamba kuwa dimbwi la maji, 2 mwamba mgumu kuwa chemchemi za maji.

← Psalms 113Read In The App, Free →Psalms 115 →

Study Psalms 114

KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)

All Chapters

123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131132133134135136137138139140141142143144145146147148149150