Psalms 133
1Tazama jinsi ilivyo vyema na kupendeza 2 wakati ndugu wanapoishi pamoja katika umoja! 1
2Ni kama mafuta ya thamani yaliyomiminwa kichwani, 2 yakitiririka kwenye ndevu, 1 yakitiririka kwenye ndevu za Aroni, 2 mpaka kwenye upindo wa mavazi yake. 1
3Ni kama vile umande wa Hermoni 2 unavyoanguka juu ya Mlima Sayuni. 1 Kwa maana huko ndiko Bwana alikoamuru baraka yake, 2 naam, hata uzima milele.
Study Psalms 133
KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)
All Chapters
123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131132133134135136137138139140141142143144145146147148149150