Psalms 15
1Bwana, ni nani awezaye kukaa 2 katika Hekalu lako? 1 Nani awezaye kuishi 2 katika mlima wako mtakatifu? 1
2Ni yule aendaye pasipo mawaa, 2 atendaye yaliyo haki, 1 asemaye kweli toka moyoni mwake, 2
3na hana masingizio ulimini mwake, 1 asiyemtenda jirani yake vibaya, 2 na asiyemsingizia mwenzake, 1
4ambaye humdharau mtu mbaya, 2 lakini huwaheshimu wale wamwogopao Bwana, 1 yule atunzaye kiapo chake 2 hata kama anaumia. 1
5Yeye akopeshaye fedha yake bila riba, 2 na hapokei rushwa dhidi ya mtu asiye na hatia. 1 Mtu afanyaye haya 2 kamwe hatatikisika.
Study Psalms 15
KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)
All Chapters
123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131132133134135136137138139140141142143144145146147148149150