Psalms · Biblia (Kiswahili)

Psalms 128

1Heri ni wale wote wamchao Bwana, 2 waendao katika njia zake. 1

2Utakula matunda ya kazi yako; 2 baraka na mafanikio vitakuwa vyako. 1

3Mke wako atakuwa kama mzabibu uzaao 2 ndani ya nyumba yako; 1 wana wako watakuwa kama machipukizi ya mizeituni 2 kuizunguka meza yako. 1

4Hivyo ndivyo atakavyobarikiwa 2 mtu amchaye Bwana. 1

5Bwana na akubariki kutoka Sayuni 2 siku zote za maisha yako, 1 na uone mafanikio ya Yerusalemu, 2

6nawe ujaliwe kuishi uone watoto wa watoto wako. 1 Amani iwe juu ya Israeli.

← Psalms 127Read In The App, Free →Psalms 129 →

Study Psalms 128

KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)

All Chapters

123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131132133134135136137138139140141142143144145146147148149150