Psalms 113
1Msifuni Bwana. 1 Enyi watumishi wa Bwana msifuni, 2 lisifuni jina la Bwana. 1
2Jina la Bwana na lisifiwe, 2 sasa na hata milele. 1
3Kuanzia mawio ya jua hadi machweo yake, 2 jina la Bwana linapaswa kusifiwa. 1
4Bwana ametukuka juu ya mataifa yote, 2 utukufu wake juu ya mbingu. 1
5Ni nani aliye kama Bwana Mungu wetu, 2 Yeye ambaye ameketi juu kwenye kiti cha enzi, 1
6ambaye huinama atazame chini 2 aone mbingu na nchi? 1
7Huwainua maskini kutoka mavumbini, 2 na kuwanyanyua wahitaji kutoka kwenye jalala, 1
8huwaketisha pamoja na wakuu, 2 pamoja na wakuu wa watu wake. 1
9Humjalia mwanamke tasa kutulia nyumbani mwake, 2 akiwa mama watoto mwenye furaha. 1 Msifuni Bwana.
Study Psalms 113
KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)
All Chapters
123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131132133134135136137138139140141142143144145146147148149150