Psalms 11
1Kwa Bwana ninakimbilia, 2 unawezaje basi kuniambia: 2 “Ruka kama ndege kwenye mlima wako. 1
2Hebu tazama, waovu wanapinda pinde zao, 2 huweka mishale kwenye uzi wake, 1 wakiwa gizani ili kuwapiga 2 wale wanyofu wa moyo. 1
3Wakati misingi imeharibiwa, 2 mwenye haki anaweza kufanya nini?” 1
4Bwana yuko ndani ya Hekalu lake takatifu; 2 Bwana yuko kwenye kiti chake cha enzi mbinguni. 1 Huwaangalia wana wa watu, 2 macho yake yanawajaribu. 1
5Bwana huwajaribu wenye haki, 2 lakini waovu na wanaopenda jeuri, 2 nafsi yake huwachukia. 1
6Atawanyeshea waovu makaa ya moto mkali 2 na kiberiti kinachowaka, 2 upepo wenye joto kali ndio fungu lao. 1
7Kwa kuwa Bwana ni mwenye haki, 2 yeye hupenda haki. 2 Wanyofu watauona uso wake.
Study Psalms 11
KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)
All Chapters
123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131132133134135136137138139140141142143144145146147148149150