Psalms 54
1Ee Mungu uniokoe kwa jina lako, 2 unifanyie hukumu kwa uwezo wako. 1
2Ee Mungu, sikia maombi yangu, 2 usikilize maneno ya kinywa changu. 1
3Wageni wananishambulia, 2 watu wakatili wanayatafuta maisha yangu, 2 watu wasiomjali Mungu. 1
4Hakika Mungu ni msaada wangu, 2 Bwana ndiye anayenitegemeza. 1
5Mabaya na yawarudie wale wanaonisingizia, 2 kwa uaminifu wako uwaangamize. 1
6Nitakutolea dhabihu za hiari; 2 Ee Bwana, nitalisifu jina lako 2 kwa kuwa ni vyema. 1
7Kwa maana ameniokoa katika shida zangu zote, 2 na macho yangu yamewatazama adui zangu kwa ushindi.
Study Psalms 54
KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)
All Chapters
123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131132133134135136137138139140141142143144145146147148149150