Psalms · Biblia (Kiswahili)

Psalms 130

1Kutoka vilindini ninakulilia, Ee Bwana. 2

2Ee Bwana, sikia sauti yangu. 1 Masikio yako na yawe masikivu 2 kwa kilio changu unihurumie. 1

3Kama wewe, Ee Bwana, ungeweka kumbukumbu ya dhambi, 2 Ee Bwana, ni nani angeliweza kusimama? 1

4Lakini kwako kuna msamaha, 2 kwa hiyo wewe unaogopwa. 1

5Namngojea Bwana, nafsi yangu inangojea, 2 katika neno lake naweka tumaini langu. 1

6Nafsi yangu inamngojea Bwana 2 kuliko walinzi waingojeavyo asubuhi, 1 naam, kuliko walinzi 2 waingojeavyo asubuhi. 1

7Ee Israeli, mtumaini Bwana, 2 maana kwa Bwana kuna upendo usiokoma, 2 na kwake kuna ukombozi kamili. 1

8Yeye mwenyewe ataikomboa Israeli 2 kutoka dhambi zao zote.

← Psalms 129Read In The App, Free →Psalms 131 →

Study Psalms 130

KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)

All Chapters

123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131132133134135136137138139140141142143144145146147148149150