Psalms · Biblia (Kiswahili)

Psalms 13

1Mpaka lini, Ee Bwana? Je, utanisahau milele? 2 Utanificha uso wako mpaka lini? 1

2Nitapambana na mawazo yangu mpaka lini, 2 na kila siku kuwa na majonzi moyoni mwangu? 2 Adui zangu watanishinda mpaka lini? 1

3Nitazame, unijibu, Ee Bwana Mungu wangu. 2 Yatie nuru macho yangu, 2 ama sivyo nitalala usingizi wa mauti. 1

4Adui yangu atasema, “Nimemshinda,” 2 nao adui zangu watashangilia nitakapoanguka. 1

5Lakini ninategemea upendo wako usiokoma; 2 moyo wangu unashangilia katika wokovu wako. 1

6Nitamwimbia Bwana, 2 kwa kuwa amekuwa mwema kwangu.

← Psalms 12Read In The App, Free →Psalms 14 →

Study Psalms 13

KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)

All Chapters

123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131132133134135136137138139140141142143144145146147148149150