Psalms · Biblia (Kiswahili)

Psalms 70

1Ee Mungu, ufanye haraka kuniokoa; 2 Ee Bwana, njoo hima unisaidie. 1

2Wale wanaotafuta kuuondoa uhai wangu, 2 waaibishwe na kufadhaishwa; 1 wote wanaotamani kuangamizwa kwangu, 2 warudishwe nyuma kwa aibu. 1

3Wale waniambiao, “Aha! Aha!” 2 warudi nyuma kwa sababu ya aibu yao. 1

4Lakini wote wakutafutao 2 washangilie na kukufurahia, 1 wale wapendao wokovu wako siku zote waseme, 2 “Mungu na atukuzwe!” 1

5Lakini bado mimi ni maskini na mhitaji; 2 Ee Mungu, unijie haraka. 1 Wewe ndiwe msaada wangu na mwokozi wangu; 2 Ee Bwana, usikawie.

← Psalms 69Read In The App, Free →Psalms 71 →

Study Psalms 70

KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)

All Chapters

123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131132133134135136137138139140141142143144145146147148149150