Psalms · Biblia (Kiswahili)

Psalms 98

1Mwimbieni Bwana wimbo mpya, 2 kwa maana ametenda mambo ya ajabu; 1 kitanga chake cha kuume na mkono wake mtakatifu 2 umemfanyia wokovu. 1

2Bwana ameufanya wokovu wake ujulikane 2 na amedhihirisha haki yake kwa mataifa. 1

3Ameukumbuka upendo wake 2 na uaminifu wake kwa nyumba ya Israeli; 1 miisho yote ya dunia imeuona 2 wokovu wa Mungu wetu. 1

4Mpigieni Bwana kelele za shangwe, dunia yote, 2 ipaze sauti kwa nyimbo za shangwe na vinanda; 1

5mwimbieni Bwana kwa kinubi, 2 kwa kinubi na sauti za kuimba, 1

6kwa tarumbeta na mvumo wa baragumu za pembe za kondoo dume: 2 shangilieni kwa furaha mbele za Bwana, aliye Mfalme. 1

7Bahari na ivume na kila kiliomo ndani yake, 2 dunia na wote wakaao ndani yake. 1

8Mito na ipige makofi, 2 milima na iimbe pamoja kwa furaha, 1

9vyote na viimbe mbele za Bwana, 2 kwa maana yuaja kuhukumu dunia. 1 Atahukumu dunia kwa haki 2 na mataifa kwa haki.

← Psalms 97Read In The App, Free →Psalms 99 →

Study Psalms 98

KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)

All Chapters

123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131132133134135136137138139140141142143144145146147148149150