Psalms · Biblia (Kiswahili)

Psalms 124

1Kama Bwana asingalikuwa upande wetu; 2 Israeli na aseme sasa: 1

2kama Bwana asingalikuwa upande wetu, 2 wakati watu walipotushambulia, 1

3wakati hasira yao ilipowaka dhidi yetu, 2 wangalitumeza tungali hai, 1

4mafuriko yangalitugharikisha, 2 maji mengi yangalitufunika, 1

5maji yaendayo kasi 2 yangalituchukua. 1

6Bwana asifiwe, 2 yeye ambaye hakuruhusu turaruliwe kwa meno yao. 1

7Tumeponyoka kama ndege 2 kutoka mtego wa mwindaji; 1 mtego umevunjika, 2 nasi tukaokoka. 1

8Msaada wetu ni katika jina la Bwana, 2 Muumba wa mbingu na dunia.

← Psalms 123Read In The App, Free →Psalms 125 →

Study Psalms 124

KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)

All Chapters

123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131132133134135136137138139140141142143144145146147148149150