Psalms · Biblia (Kiswahili)

Psalms 67

1Mungu aturehemu na kutubariki, 2 na kutuangazia nuru za uso wake, 1

2ili njia zako zijulikane duniani, 2 wokovu wako katikati ya mataifa yote. 1

3Ee Mungu, mataifa na wakusifu, 2 mataifa yote na wakusifu. 1

4Mataifa yote wafurahi na kuimba kwa shangwe, 2 kwa kuwa unatawala watu kwa haki 2 na kuongoza mataifa ya dunia. 1

5Ee Mungu, mataifa na wakusifu, 2 mataifa yote na wakusifu. 1

6Ndipo nchi itatoa mazao yake, 2 naye Mungu, Mungu wetu, atatubariki. 1

7Mungu atatubariki 2 na miisho yote ya dunia itamcha yeye.

← Psalms 66Read In The App, Free →Psalms 68 →

Study Psalms 67

KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)

All Chapters

123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131132133134135136137138139140141142143144145146147148149150