Psalms · Biblia (Kiswahili)

Psalms 99

1Bwana anatawala, 2 mataifa na yatetemeke; 1 anakalia kiti cha enzi katikati ya makerubi, 2 dunia na itikisike. 1

2Bwana ni mkuu katika Sayuni; 2 ametukuzwa juu ya mataifa yote. 1

3Wanalisifu jina lako ambalo ni kuu na la kuogopwa: 2 yeye ni mtakatifu! 1

4Mfalme ni mwenye nguvu na hupenda haki, 2 wewe umethibitisha adili; 1 katika Yakobo umefanya 2 yaliyo haki na sawa. 1

5Mtukuzeni Bwana Mungu wetu, 2 na mkaabudu katika mahali pa kuwekea miguu yake; 2 yeye ni mtakatifu. 1

6Mose na Aroni walikuwa miongoni mwa makuhani wake, 2 Samweli alikuwa miongoni mwa walioliitia jina lake; 1 walimwita Bwana, 2 naye aliwajibu. 1

7Alizungumza nao kutoka nguzo ya wingu; 2 walizishika sheria zake na amri alizowapa. 1

8Ee Bwana, wetu, 2 ndiwe uliyewajibu, 1 kwa Israeli ulikuwa Mungu mwenye kusamehe, 2 ingawa uliadhibu matendo yao mabaya. 1

9Mtukuzeni Bwana Mungu wetu, 2 mwabuduni kwenye mlima wake mtakatifu, 2 kwa maana Bwana Mungu wetu ni mtakatifu.

← Psalms 98Read In The App, Free →Psalms 100 →

Study Psalms 99

KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)

All Chapters

123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131132133134135136137138139140141142143144145146147148149150