Psalms · Biblia (Kiswahili)

Psalms 125

1Wale wamtumainio Bwana ni kama mlima Sayuni, 2 ambao hauwezi kutikisika, bali wadumu milele. 1

2Kama milima inavyozunguka Yerusalemu, 2 ndivyo Bwana anavyowazunguka watu wake 2 sasa na hata milele. 1

3Fimbo ya waovu haitadumu juu ya nchi 2 waliopewa wenye haki, 1 ili wenye haki wasije wakatumia 2 mikono yao kutenda ubaya. 1

4Ee Bwana, watendee mema walio wema, 2 wale walio wanyofu wa moyo. 1

5Bali wale wanaogeukia njia zilizopotoka, 2 Bwana atawafukuza pamoja na watenda mabaya. 1 Amani iwe juu ya Israeli.

← Psalms 124Read In The App, Free →Psalms 126 →

Study Psalms 125

KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)

All Chapters

123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131132133134135136137138139140141142143144145146147148149150