Psalms 121
1Nayainua macho yangu nitazame vilima, 2 msaada wangu utatoka wapi? 1
2Msaada wangu hutoka kwa Bwana, 2 Muumba wa mbingu na dunia. 1
3Hatauacha mguu wako uteleze, 2 yeye akulindaye hatasinzia, 1
4hakika, yeye alindaye Israeli 2 hatasinzia wala hatalala usingizi. 1
5Bwana anakulinda, 2 Bwana ni uvuli wako mkono wako wa kuume, 1
6jua halitakudhuru mchana, 2 wala mwezi wakati wa usiku. 1
7Bwana atakukinga na madhara yote, 2 atayalinda maisha yako, 1
8Bwana atakulinda unapoingia na unapotoka, 2 tangu sasa na hata milele.
Study Psalms 121
KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)
All Chapters
123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131132133134135136137138139140141142143144145146147148149150