Psalms 93
1Bwana anatawala, amejivika utukufu; 2 Bwana amejivika utukufu 2 tena amejivika nguvu. 1 Dunia imewekwa imara, 2 haitaondoshwa. 1
2Kiti chako cha enzi kimekuwa thabiti tangu zamani; 2 wewe umekuwako tangu milele. 1
3Bahari zimeinua, Ee Bwana, 2 bahari zimeinua sauti zake; 2 bahari zimeinua sauti za mawimbi yake. 1
4Yeye ni mkuu kuliko ngurumo ya maji makuu, 2 ni mkuu kuliko mawimbi ya bahari: 2 Bwana aishiye juu sana ni mkuu. 1
5Ee Bwana, sheria zako ni imara; 2 utakatifu umepamba nyumba yako 2 pasipo mwisho.
Study Psalms 93
KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)
All Chapters
123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131132133134135136137138139140141142143144145146147148149150