Psalms · Biblia (Kiswahili)

Psalms 61

1Ee Mungu, sikia kilio changu, 2 usikilize maombi yangu. 1

2Kutoka miisho ya dunia ninakuita, 2 ninaita huku moyo wangu unadhoofika; 1 uniongoze kwenye mwamba 2 ule ulio juu kuliko mimi. 1

3Kwa kuwa umekuwa kimbilio langu, 2 ngome imara dhidi ya adui. 1

4Natamani kukaa hemani mwako milele, 2 na kukimbilia chini ya uvuli wa mbawa zako. 1

5Ee Mungu, kwa kuwa umesikia nadhiri zangu, 2 umenipa urithi wa wale wanaoliogopa jina lako. 1

6Mwongezee mfalme siku za maisha yake, 2 miaka yake kwa vizazi vingi. 1

7Yeye na atawazwe kwenye kiti cha enzi mbele za Mungu milele; 2 amuru upendo wako na uaminifu wako vimlinde. 1

8Ndipo daima nitaliimbia sifa jina lako 2 na kuzitimiza nadhiri zangu siku baada ya siku.

← Psalms 60Read In The App, Free →Psalms 62 →

Study Psalms 61

KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)

All Chapters

123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131132133134135136137138139140141142143144145146147148149150