Psalms · Biblia (Kiswahili)

Psalms 82

1Mungu anaongoza kusanyiko kuu, 2 anatoa hukumu miongoni mwa “miungu”: 1

2“Hata lini utaendelea kuwatetea wasio haki 2 na kuonyesha upendeleo kwa waovu? 1

3Teteeni wanyonge na yatima, 2 tunzeni haki za maskini na walioonewa. 1

4Mwokoeni mnyonge na mhitaji, 2 wakomboeni kutoka mkononi mwa mwovu. 1

5“Hawajui lolote, hawaelewi lolote. 2 Wanatembea gizani; 2 misingi yote ya dunia imetikisika. 1

6“Nilisema, ‘Ninyi ni “miungu”; 2 ninyi nyote ni wana wa Aliye Juu Sana.’ 1

7Lakini mtakufa kama wanadamu wa kawaida; 2 mtaanguka kama mtawala mwingine yeyote.” 1

8Ee Mungu, inuka uihukumu nchi, 2 kwa kuwa mataifa yote ni urithi wako.

← Psalms 81Read In The App, Free →Psalms 83 →

Study Psalms 82

KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)

All Chapters

123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131132133134135136137138139140141142143144145146147148149150