Psalms · Biblia (Kiswahili)

Psalms 129

1Wamenionea mno tangu ujana wangu; 2 Israeli na aseme sasa: 1

2wamenionea mno tangu ujana wangu, 2 lakini bado hawajanishinda. 1

3Wakulima wamelima mgongo wangu, 2 na kufanya mifereji yao mirefu. 1

4Lakini Bwana ni mwenye haki; 2 amenifungua toka kamba za waovu. 1

5Wale wote waichukiao Sayuni 2 na warudishwe nyuma kwa aibu. 1

6Wawe kama majani juu ya paa, 2 ambayo hunyauka kabla hayajakua; 1

7kwa hayo mvunaji hawezi kujaza vitanga vyake, 2 wala akusanyaye kujaza mikono yake. 1

8Wale wapitao karibu na wasiseme, 2 “Baraka ya Bwana iwe juu yako; 2 tunakubariki katika jina la Bwana.”

← Psalms 128Read In The App, Free →Psalms 130 →

Study Psalms 129

KJVMatthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschCharles SpurgeonScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)Reina-Valera (Español)Bíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)

All Chapters

123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839404142434445464748495051525354555657585960616263646566676869707172737475767778798081828384858687888990919293949596979899100101102103104105106107108109110111112113114115116117118119120121122123124125126127128129130131132133134135136137138139140141142143144145146147148149150